iqna

IQNA

sri lanka
TEHRAN (IQNA) – Balozi wa Sri Lanka nchini India Milinda Moragoda amemtunuku Balozi wa Saudia nchini India Saleh Eid Al-Husseini nakala ya tafsiri ya Kisinhala ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3477012    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/17

TEHRAN (IQNA) – Mwandishi wa kaligrafia kutoka Sri Lanka alisema amefurahi sana kuweza kuhudhuria Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3476833    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/08

TEHRAN (IQNA)- Mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi unaoikabili Sri Lanka iliyokumbwa na madeni umewalazimu Waislamu kutotekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3475326    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/02

TEHRAN (IQNA)- Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa kushtadi chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Sri Lanka, serikali ya nchi hiyo imetangaza kuwa karibuni hivi itapiga marufuku uvaaji wa vazi la staha la burqa (niqabu) ambalo huvaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
Habari ID: 3473732    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/14

TEHRAN (IQNA)- Kufuatia mashinikizo, serikali ya Sri Lanka imebatilisha uamuzi wake wa kuteketeza moto miili ya Waislamu waliopoteza maisha kutokana na Corona au COVID-19.
Habari ID: 3473685    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/26

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa wito kwa Sri Lanka kuheshimu haki za Waislamu kuzikwa kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3473679    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/24

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Sri Lanka wamewasilisha malalamiko kwa Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa kuhusu sera ya serikali yao ya kuchoma kwa lazima miili ya Waislamu wanaoshukiwa kupoteza maisha kutokana na corona au COVID 19.
Habari ID: 3473636    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/09

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wameua watu wasiopungua 207 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 500 katika wimbi kubwa la hujuma ambazo zimelenga makanisa na mahoteli nchini Sri Lanka .
Habari ID: 3471923    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/21

TEHRAN (IQNA)-Hali ya hatari imetangazwa kote Sri Lanka Jumanne baada ya magenge ya Mabuddha kuwahujumu Waislamu katika wilaya moja ya kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471420    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/07

Kadinali Malcolm Ranjith wa Kanisa Katoliki Sri Lanka amempongeza hayati Imam Khomeini MA kwa kusimama kidete kukabiliana na ubabe wa Marekani sambamba na kudumisha heshima na uhuru wa Iran.
Habari ID: 3470444    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10